{"id":613027,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/613027/?format=json","text_counter":160,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Asante, Bw. Spika wa Muda. Tumeambiwa kwamba hatimaye Bw. Madaga alilazwa kwenye hospitali ya Rufaa ya Kenyatta. Je, ni daktari wangapi ambao walimhudumia marehemu Madaga? Hakuna hata mmoja ambaye ametajwa kwenye hii Ripoti. Ni kina nani ambao walimhudumia marehemu Madaga akiwa hali mahututi?"}