{"id":616033,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/616033/?format=json","text_counter":129,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Kombe","speaker_title":"","speaker":{"id":250,"legal_name":"Harrison Garama Kombe","slug":"harrison-kombe"},"content":"Uzalendo haujapata kuonyeshwa hapa hata kidogo. Kwa hivyo, ni kuuliza kwa unyenyekevu na kwa upendo kuona kwamba uteuzi mwingine ukifanywa uzingatie Wakenya wote na tutaunga mkono kwa sababu ni Mkenya ambaye anastahili na amechaguliwa kuwahudumia Wakenya."}