{"id":616190,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/616190/?format=json","text_counter":286,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Aburi","speaker_title":"","speaker":{"id":2901,"legal_name":"Lawrence Mpuru Aburi","slug":"lawrence-mpuru-aburi"},"content":"Kama viongozi Bungeni, pia sisi tunafaa kuitwa na kumshauri Rais maeneo ambayo yanafaa kupewa nafasi kusimamia ofisi mbalimbali katika Serikali. Rais amefanya kazi nzuri."}