{"id":616440,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/616440/?format=json","text_counter":183,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Dr.) Shaban","speaker_title":"","speaker":{"id":139,"legal_name":"Naomi Namsi Shaban","slug":"naomi-shaban"},"content":"Ukiangalia shahada ambayo amesomea, amesomea maswala ya sekta ile ambayo amepelekwa. Bila shaka, Charles Keter ataweza kuleta ujuzi wake kwenye Baraza la Mawaziri na kuweza kumsaidia Mhe. Rais kuweza kutekeleza maswala ambaye amempatia kutekelezea Wakenya."}