{"id":617336,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/617336/?format=json","text_counter":69,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwadeghu","speaker_title":"","speaker":{"id":98,"legal_name":"Thomas Ludindi Mwadeghu","slug":"thomas-mwadeghu"},"content":"Ahsante Mhe. Spika. Naomba niunge mwenzangu mkono. Jambo la kwanza, ningependa kuwatakia Wabunge wote wakati mwema kwa kikao hiki na kuwatakia mema wakati huu wote tutakapokuwa tukizungumza ama kujadiliana Bungeni."}