{"id":617963,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/617963/?format=json","text_counter":151,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Bule","speaker_title":"","speaker":{"id":1029,"legal_name":"Ali Abdi Bule","slug":"ali-abdi-bule"},"content":"Bw. Spika, asante sana kwa kunipa nafasi hii. Jambo la wakimbizi wa ndani ni muhimu. Ni lazima jambo hili liangaliwe kwa makini. Watu wa Tana River walipata tatizo kubwa ambalo liliwafanya wakimbizi wa ndani na hawajatambuliwa kwa miaka mingi. Vile mjuavyo---"}