{"id":61965,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/61965/?format=json","text_counter":154,"type":"speech","speaker_name":"Ms. Leshomo","speaker_title":"","speaker":{"id":379,"legal_name":"Maison Leshoomo","slug":"maison-leshoomo"},"content":"alimuuliza Waziri wa Uchukuzi:- (a) kama ana habari kwamba uwanja mdogo wa ndege wa Baragoi katika Wilaya ya Samburu Kaskazini uko katika hali mbaya; na, (b) hatua atakayochukua kuhakikisha kuwa uwanja huo umerekebishwa."}