{"id":620646,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/620646/?format=json","text_counter":370,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Juma","speaker_title":"","speaker":{"id":13130,"legal_name":"Zuleikha Juma Hassan","slug":"zuleikha-juma-hassan"},"content":"Asante sana, Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii kuchangia kuhusu hii sheria ambayo itaweza kuwasaidia maskini kupata msaada wa mawakili wa Serikali."}