{"id":625886,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/625886/?format=json","text_counter":540,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwadeghu","speaker_title":"","speaker":{"id":98,"legal_name":"Thomas Ludindi Mwadeghu","slug":"thomas-mwadeghu"},"content":"Mhe. Spika, naomba wakati utaratibu utakuwa umeanza wa kuhakikisha kuwa makadirio ya fedha za mwaka 2016/2017, tuambiwe fedha hizo ziko wapi na tuambiwe zimefanya nini na kwa nini hazijatumiwa."}