{"id":627072,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/627072/?format=json","text_counter":706,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Bady","speaker_title":"","speaker":{"id":1612,"legal_name":"Bady Twalib Bady","slug":"bady-twalib-bady"},"content":"Tumefurahishwa na Mswada huu, lakini pia nikiangalia, sisi tulipitisha Katiba ya Kenya, 2010 tukiihusisha Tume ya National Land Commission (NLC) na masuala ya ardhi. Kutoka kwenye ukurasa wa kwanza hadi wa mwisho wa Mswada huu, sijaona NLC ikihusishwa. Ni muhimu mchango wa tume hiyo uonekane ili waweze kutusaidia."}