{"id":627577,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/627577/?format=json","text_counter":125,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Lay","speaker_title":"","speaker":{"id":1022,"legal_name":"Joyce Wanjalah Lay","slug":"joyce-wanjalah-lay"},"content":"kiwanda kiwekwe hapo au si sawa. Mambo haya yote yakiangaziwa katika huu Mswada, wakati utaletwa kwenye Kamati ya Bunge ninafikiri utakuwa wa kufana sana."}