{"id":633071,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/633071/?format=json","text_counter":509,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwadeghu","speaker_title":"","speaker":{"id":98,"legal_name":"Thomas Ludindi Mwadeghu","slug":"thomas-mwadeghu"},"content":"ya kina Joho hayaturidhishi yakifanywa humu nchini kwa Wakenya. Kwa hivyo naweka mkazo na nasisitiza kuwa wakati umefika Serikali ichukue hatua kuwalinda watu wa Migingo. Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda."}