{"id":641103,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/641103/?format=json","text_counter":28,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Naunga mkona kilio hiki ambacho kimependekezwa na Seneta wa Turkana. Naomba Kamati itakayoteuliwa kushughulikia jambo hili ifanye kazi kwa kindani na kutupa ripoti kamili, ili hii iwe mfano kwa kaunti zingine."}