{"id":642681,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/642681/?format=json","text_counter":473,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Aburi","speaker_title":"","speaker":{"id":2901,"legal_name":"Lawrence Mpuru Aburi","slug":"lawrence-mpuru-aburi"},"content":"Kilifi, Mombasa na Meru. Zikifika kule Meru, zinakuwa za mtu mmoja. Naiunga mkono Serikali lakini imekuwa na ukora mwingi ambao haufai. Naunga mkono."}