{"id":64343,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/64343/?format=json","text_counter":96,"type":"speech","speaker_name":"Ms. Leshomo","speaker_title":"","speaker":{"id":379,"legal_name":"Maison Leshoomo","slug":"maison-leshoomo"},"content":"alimuuliza Waziri wa Maji na Unyunyizaji:- (a) Je, ana habari ya kwamba wakazi wa eneo la Samburu wamekumbwa na shida kubwa ya uhaba wa maji; na, (b) Serikali inapanga kuchukua hatua gani kabambe kuhakikisha ya kwamba wakazi wa wilaya hiyo wamepata maji."}