{"id":644950,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/644950/?format=json","text_counter":258,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Sang","speaker_title":"The Temporary Speaker","speaker":{"id":907,"legal_name":"Stephen Kipyego Sang","slug":"stephen-kipyego-sang"},"content":" Sen. Kisasa, hoja ya nidhamu kutoka kwa Sen. Muthama ni kwamba umewaita waathiriwa hao wakimbizi wa kisisasa ilhali jina linalotumika ni wakimbizi wa kindani au waathiriwa wa ghasia za uchaguzi wa 2007. Kulingana naye, umelitumia jina hilo kimakosa. Wewe unawaomba waridhiwe vilivyo ilhali yeye anasema hawa si wakimbizi wa kisiasa."}