{"id":645401,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/645401/?format=json","text_counter":160,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Wario","speaker_title":"","speaker":{"id":252,"legal_name":"Ali Wario","slug":"ali-wario"},"content":"Mimi ninatoka katika sehemu kame ya taifa la Kenya. Ni mara ya kwanza tangu Mungu aumbe hii dunia na alete Mtume Adamu sitima kuwekwa kwa nyumba ya nyasi katika Tana River."}