{"id":645473,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/645473/?format=json","text_counter":232,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Leshoomo","speaker_title":"","speaker":{"id":379,"legal_name":"Maison Leshoomo","slug":"maison-leshoomo"},"content":"Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Hakuna haja ya kujibu swali hilo kwa sababu hivyo ndivyo Wakenya wote walichukulia tabia yao. Hakuna haja ya kujibishana. Tunamshukuru Rais kwa Hotuba yake. Tutampa mkono kwa njia yoyote ile inayotakikana."}