{"id":648195,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/648195/?format=json","text_counter":380,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Katana","speaker_title":"","speaker":{"id":691,"legal_name":"Aisha Jumwa Katana","slug":"aisha-jumwa-katana"},"content":"Kenya ni nchi ya kidemokrasia na pia vile vile ina mashirika mengi sana ya kijamii ambayo yamekuwa na mchango mkubwa sana katika Mswada huu kwa kuitekeleza marekebisho haya ya kikatiba."}