{"id":648205,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/648205/?format=json","text_counter":390,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Katana","speaker_title":"","speaker":{"id":691,"legal_name":"Aisha Jumwa Katana","slug":"aisha-jumwa-katana"},"content":"Naona tuna uwezo na tunawezafanya. Naomba siku ya Jumatano tujititokeze kwa wingi Wabunge wa kike na kiume tupitishe kwa sababu ni suala ambalo ni la maana."}