{"id":654257,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/654257/?format=json","text_counter":199,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Rai","speaker_title":"","speaker":{"id":203,"legal_name":"Samuel Gonzi Rai","slug":"samuel-rai"},"content":"Mswada huu unahitaji kuboreshwa katika Kamati ya Bunge nzima ili kuhakikisha kwamba umeweza kuyalenga yale yote ambayo yanaweza kumnufaisha mwanadamu. Mhe. Naibu Spika wa Muda, naomba kuunga mkono."}