{"id":654712,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/654712/?format=json","text_counter":441,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Dr.) Shaban","speaker_title":"","speaker":{"id":139,"legal_name":"Naomi Namsi Shaban","slug":"naomi-shaban"},"content":"Asante sana Mhe. Naibu Mwenyekiti wa Muda. Rekebisho hili litaondoa utukutu na utundu unaofanywa na wahalifu hapa nchini. Hivyo basi, sheria hii itakuwa muhimu sana kuonyesha wazi kuwa wenye kusimamia usalama ni akina nani na wenye kufanya kazi kwenye kampuni hizi ni akina nani. Naunga mkono rekebisho hili."}