{"id":657814,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/657814/?format=json","text_counter":743,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwanyoha","speaker_title":"","speaker":{"id":2308,"legal_name":"Hassan Mohamed Mwanyoha","slug":"hassan-mohamed-mwanyoha"},"content":"Asante sana. Hiyo ni kuonyesha maneno haya ni kabambe. Kwa hivyo naomba ya kwamba uteuzi ufanywe baada ya uchaguzi na tuhakikishe kwamba mambo yamekuwa sawa sawa. Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii. Naunga mkono."}