{"id":659451,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/659451/?format=json","text_counter":363,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Gichigi","speaker_title":"","speaker":{"id":1909,"legal_name":"Samuel Kamunye Gichigi","slug":"samuel-kamunye-gichigi"},"content":"Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa sababu upinzani wangu wa Mswada huu unapingwa, tutakapoenda likizoni, watu wote wajiulize; tukiwapatia maadui nchi hii, wataiongoza jinsi wanavyoongoza maandamano dhidi ya Tume ya Uchaguzi? Hii ni iwapo tutapeana nchi hii kwao."}