{"id":661251,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/661251/?format=json","text_counter":140,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Gichigi","speaker_title":"","speaker":{"id":1909,"legal_name":"Samuel Kamunye Gichigi","slug":"samuel-kamunye-gichigi"},"content":"Ahsante, Mhe. Naibu Mwenyekiti wa Muda. Naunga mkono maoni ya Mwenyekiti wa Kamati ya Maji na Mazingira. Tukisema kuwa wenyekiti watoke kwenye kaunti zinazohusika, ni lazima kuwe na uwazi na usawa."}