{"id":668815,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/668815/?format=json","text_counter":57,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"“Karanja, uliandikisha ripoti kwa polisi. Ulikutwa na watu ukatuma mipango yetu isambaratike lakini utajua sisi ni wanangaza. Tunaanza na weweKaranja na kuanzia leo tunakuwinda. Bado tuko na mipango ya mheshimiwa.Utampa asome alafu mupeleke kwa polisi.”"}