{"id":671682,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/671682/?format=json","text_counter":192,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Muthama","speaker_title":"","speaker":{"id":96,"legal_name":"Johnson Nduya Muthama","slug":"johnson-muthama"},"content":"Bw. Spika, kwanza ilikuwa baada ya muda wa wiki mbili. Lakini, muda huo uliongezwa wiki nyingine mbili. Baadaye wiki nyingine mbili ziliongezwa; ikaongezewa mwezi mmoja na hatimaye wakaongezwa wiki nyingine mbili. Licha ya hayo, ripotii hii haijawasilishwa bado."}