{"id":671692,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/671692/?format=json","text_counter":202,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Obure","speaker_title":"","speaker":{"id":118,"legal_name":"Christopher Mogere Obure","slug":"christopher-obure"},"content":"Bw. Spika, ukweli ni kuwa hata mimi sikutarajia swala hili lije hapa kwa vile halikuwa kwenye orodha ya shughuli za leo. Hata hivyo, nitawajulisha wenzangu katika kamati ya kwamba swala hili lazima lijibiwe hapa. Nawahakikishia kuwa tutafanya hivyo."}