{"id":675014,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/675014/?format=json","text_counter":125,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Chea","speaker_title":"","speaker":{"id":1694,"legal_name":"Mwinga Gunga Chea","slug":"mwinga-gunga-chea"},"content":"Kwa hivyo ikiwa kweli tunahitaji mambo ya taifa letu yaende kwa hali nzuri, ningeomba Serikali iwe na jukumu la kuhakikisha ya kwamba wazee wetu wameanagaliwa vyema."}