{"id":675638,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/675638/?format=json","text_counter":161,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwadeghu","speaker_title":"","speaker":{"id":98,"legal_name":"Thomas Ludindi Mwadeghu","slug":"thomas-mwadeghu"},"content":"Kamati hii kwangu ni ya umuhimu sana. Naomba mwenyeketi wake, Mhe. Chepkong’a, awakubali wenzake waendelee na kazi. Awajibike ya kutosha kuwaelezea yale walitimiza wakati walikuwa nje kidogo ili washike dau pamoja na kumaliza kazi bila shida yoyote."}