{"id":675663,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/675663/?format=json","text_counter":186,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwadeghu","speaker_title":"","speaker":{"id":98,"legal_name":"Thomas Ludindi Mwadeghu","slug":"thomas-mwadeghu"},"content":"Asante, Mhe. Spika. Wakati mwingine cheche zinazoletwa hapa Bungeni na wenzangu huonekana kuwa mambo yanayomtoa mtu hadhi. Sikulenga mtu yeyote katika barua yangu au matamshi yangu yawe ni ya kuudhi mtu yeyote. Mhe. Chepkong’a amefanyiwa kazi na dadangu kwa muda mrefu sana na tumejuana tangu hapo awali. Ameniudhi mara nyingi lakini sijawahi kusema. Leo hii, amekiri kuwa amefanyiwa kazi na mmoja wetu. Tumemhudumia kwa muda mrefu na asingeweza kupanda iwapo hatungemsaidia. Mhe. Chepkong’a ni rafiki wangu na tunaweza kuyatatua mambo haya bila shida yoyote iwapo The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."}