{"id":677946,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/677946/?format=json","text_counter":159,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Mr. Speaker, Sir, taarifa ambayo nililiuza ilikuwa wazi kabisa. Haikuwa na pingamizi. Niko tayari kupokea jibu kutoka kwa dada yangu na sio lazima kwamba tujadiliane kwanza kabla hajaisoma. Niko tayari kupokea jibu hilo ili nitafakari zaidi. Kwa hivyo, niko tayari alisome."}