{"id":686063,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/686063/?format=json","text_counter":296,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Korere","speaker_title":"","speaker":{"id":13134,"legal_name":"Sara Paulata Korere","slug":"sara-paulata-korere"},"content":"Nitasema manaake ni lazima niseme ninayotaka kusema. Kamati Teule ambayo imewasilisha Ripoti hii iliongozwa na Wabunge ambao tunawaheshimu sana. Wamesifika sana, haswa kwa masuala ya kisheria. Kuhusu makamishna ambao wanatarajiwa kuondoka kutoka ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, ninaiunga mkono Ripoti hii."}