{"id":690885,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/690885/?format=json","text_counter":206,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwanyoha","speaker_title":"","speaker":{"id":2308,"legal_name":"Hassan Mohamed Mwanyoha","slug":"hassan-mohamed-mwanyoha"},"content":"Kuhusu NGCDF, mimi naunga mkono Mswada uliopitishwa lakini pia naomba kuwe na mipango ya haraka haswa kuhusu ili kamati ya Oversight . Hii kamati inaweza kufanya kazi nzuri lakini mpaka sasa nikiangalia hawana chochote wamefanya. Naomba Kamati ya NGCDF ihakikishe kwamba imepangia kamati ya Oversigh t mambo itakayoweza kufanya kwenye The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."}