{"id":691120,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/691120/?format=json","text_counter":188,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Leshoomo","speaker_title":"","speaker":{"id":379,"legal_name":"Maison Leshoomo","slug":"maison-leshoomo"},"content":"Ahsante. Kaunti ya Samburu imekuwa na shida nyingi kuhusu Waingereza. Tumeona nyingi zimetatuliwa lakini wakati sheria inatengenezwa, ni muhimu tusikilizwe."}