{"id":691156,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/691156/?format=json","text_counter":224,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Bedzimba","speaker_title":"","speaker":{"id":1933,"legal_name":"Rashid Juma Bedzimba","slug":"rashid-juma-bedzimba"},"content":"Kwa hiyo, madhara yanakuja kuliko faida. Kwa hivyo, tuwe na utaratibu na msimamo kama Serikali kwamba taratibu fulani zifuatwe ili tuweze kuwakubalia."}