{"id":696178,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/696178/?format=json","text_counter":220,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Lay","speaker_title":"","speaker":{"id":1022,"legal_name":"Joyce Wanjalah Lay","slug":"joyce-wanjalah-lay"},"content":"maana na ni vizuri tume ya kuajiri walimu - Teachers Service Commission (TSC) - wakati wanaajiri walimu, wasiangalie mtu aliyepata shahada ya chuo kikuu, lakini wazingatie wale ambao wamesomea theologia na wawape nafasi za mbele. Naunga mkono Hoja huu. Asante Mhe. Naibu Spika wa Muda."}