{"id":704523,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/704523/?format=json","text_counter":109,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Boy Juma Boy","speaker_title":"","speaker":{"id":758,"legal_name":"Boy Juma Boy","slug":"boy-juma-boy"},"content":"Bw. Spika, Mwenyekiti anasema kuwa Sen. (Dr.) Khalwale anataka karatasi za kawaida wakati Sen. (Dr.) Khalwale ameeleza sababu maalumu. Je, ni sawa kwa Mwenyekiti kusema kwamba ni karatasi ambazo hazina maana?"}