{"id":704552,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/704552/?format=json","text_counter":138,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Dr.) Machage","speaker_title":"","speaker":{"id":179,"legal_name":"Wilfred Gisuka Machage","slug":"wilfred-machage"},"content":"Bw. Spika, ukitafakari aliyosema Mwenyekiti, utakuwa na uamuzi moja kwamba hakujibu swali hata moja ya yale maswali ya ziada aliyoulizwa. Nakusihi umshurutishe Mwenyekiti arudie kulijibu swali hili tena katika kikao kingine."}