{"id":716913,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/716913/?format=json","text_counter":745,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"kupigakura, kupiga kura ni haki ya kila Mkenya popote alipo ulimwenguni, hata akiwa ndani ya korokoro. Sheria hii kwangu mimi naiona inafaa kabisa na ni jambo hususan sana ya kwamba waruhusiwe waweze kujiandikisha ili waweze kupiga kura kwa hakizao kama binadamu wengine."}