{"id":717777,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/717777/?format=json","text_counter":88,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwadeghu","speaker_title":"","speaker":{"id":98,"legal_name":"Thomas Ludindi Mwadeghu","slug":"thomas-mwadeghu"},"content":"Mhe. Spika, kazi ambayo imebaki ni nyingi. Kama tulivyoona leo, wakati huu utakuwa mgumu sana kwa viranja kwa sababu mara kwa mara Wabunge watakuwa huko mashinani wakiomba kura. Lakini tumetumia wakati huu vizuri kwa sababu tumejaribu tuwezavyo--- Ninawapongeza Wabunge wenzangu vile wametumia huu muda."}