{"id":722258,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/722258/?format=json","text_counter":241,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Muthama","speaker_title":"","speaker":{"id":96,"legal_name":"Johnson Nduya Muthama","slug":"johnson-muthama"},"content":"Bw. Spika wa Muda, natoa mwito kwa Serikali iangalie mambo hayo na ichunge pesa za umma ziache kuibiwa. Washukiwa wanafaaa kufungwa. Mwisho, naunga kwa masikitiko makubwa sana moyo wangu ukiwa mzito---"}