{"id":723174,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/723174/?format=json","text_counter":276,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Bady","speaker_title":"","speaker":{"id":1612,"legal_name":"Bady Twalib Bady","slug":"bady-twalib-bady"},"content":"wakizungumza maneno ya kuchukua kura na hali wale wanaochukua kura wanafariki, ni kama ule mfano wa msemo unaosema hiyo ni goji kirba kirba goji yaani wanatuzungusha wakituzungusha."}