{"id":724952,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/724952/?format=json","text_counter":214,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Kwa jambo la nidhamu Bw. Naibu Spika. Ndani ya Bunge ya Seneti kuna mtu ameingia ambaye hatumfahamu ni mtu wa aina gani. Hatujui kama ni Seneta ama ni mtu wa kutoka nje. Ningetaka ifafanulie wazi kama huyu mtu ana haki ya kuketi hapa ndani ama atupwe nje."}