{"id":727132,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/727132/?format=json","text_counter":217,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mositet","speaker_title":"","speaker":{"id":608,"legal_name":"Peter Korinko Mositet","slug":"peter-korinko-mositet"},"content":"Asante, Bw. Spika wa Muda. Nasimama kwa hoja ya nidhamu kwa sababu ni mshangao mkubwa kuona Bw. Mwenyekiti wetu akisimama na kuuliza kama hoja hii inaweze kupigiwa kura kesho na tayari Bw. Spika mwenyewe aliweza kutangazia Maseneta wote wiki iliyopita ya kwamba ni lazima siku ya Jumanne, ambayo ni leo, tukamilishe jambo hilil."}