{"id":729078,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/729078/?format=json","text_counter":17,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"wameandika historia ambayo hawatasahau siku za usoni kufika kwa Bunge la Seneti la Kenya. Kama muonavyo, Bunge hili linatumika na binadamu wenye umri kuwashinda, lakini ni binadamu. Kwa hivyo, inawezekana kwamba hata nyinyi siku za usoni---"}