{"id":729628,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/729628/?format=json","text_counter":169,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwanyoha","speaker_title":"","speaker":{"id":2308,"legal_name":"Hassan Mohamed Mwanyoha","slug":"hassan-mohamed-mwanyoha"},"content":"Elimu ni muhimu. Pendekezo langu ni kwamba mzazi yeyote atakayepatikana akidharau kuwapeleka watoto shuleni aadhibiwe vikali. Ninaliunga mkono pendekezo hilo kwa asilimia 100. Nataka Serikali ihakikishe kwamba inaangalia jambo hili kwa makini sana."}