{"id":734557,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/734557/?format=json","text_counter":101,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Dr.) Machage","speaker_title":"","speaker":{"id":179,"legal_name":"Wilfred Gisuka Machage","slug":"wilfred-machage"},"content":"Bw. Naibu Spika, singependa kupinga uamuzi wako, lakini tunajua na ishadhihirishwa katika Seneti hii kwamba Sen. (Dr.) Khalwale hufurahia sana anapoitwa daktari anayewapiganisha ng’ombe au bullfighter."}