{"id":740093,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/740093/?format=json","text_counter":100,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwadeghu","speaker_title":"","speaker":{"id":98,"legal_name":"Thomas Ludindi Mwadeghu","slug":"thomas-mwadeghu"},"content":"Mhe. Spika, nashukuru wenzangu leo wamemuweka sahihi huyu ndugu na rafiki yangu mkubwa wa upande wa walio wengi. Lakini huenda ikawa alikuwa amefikiria Mhe. Benjamin amehama chama chao. Kwa hivyo, anaweza kuchukua mamlaka yake."}