{"id":748756,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/748756/?format=json","text_counter":182,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Wario","speaker_title":"","speaker":{"id":252,"legal_name":"Ali Wario","slug":"ali-wario"},"content":"Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, naomba kuondoa hoja hiyo lakini kwa wanaoshika ofisi za kikatiba, Bunge huwa linapitisha majina matatu na Rais anachagua jina moja miongoni mwa hayo matatu."}